- Copyright © 2023 Maintained by Abudist Mediatech
Nyumba ipo Mbagala Chamazi DSM Tanzania wilaya ya Temeke. Ina vyumba (3) kimoja master bedroom, ina public toilet, sittngroom, dinning, kitchen, nyumba ina fully gypsum, ina fully fance ya kulaza gari 2. Ipo karibu na huduma za jamii. Bei Tsh mill 30. Kwa maelezo zaidi piga 0656 685868
Add a review