Nyumba ipo Mbagala Chamazi DSM Tanzania Wilaya ya Temeke. Ina vyumba (4)kimoja master bedroom, na public toilet, sitting room, dinning, kitchen & store, Ina fully gypsum, fully fence yakulaza gari 3, ina umeme na maji, nyumba ipo karibu na huduma za kijamii. Bei Tsh mill 60. Kwa maelezo zaidi piga 0656 685868
Mbagala, Dar es Salaam, Tanzania
Add a review